jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Maoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia.
Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka ni wakorofi ili tu AFCON isifanyikie kwetu.
Provocation ya mashabiki wa Yanga kule kongo ni tukio lingine la "hujuma mkakati".
Soma Pia: Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar
Kwa muktadha huu tujipange vilivyo kukabili vita hii ya kiuchumi na kidiplomasia. Uchambuzi huu huwezi kuupata popote zaidi ya JF Ipo siku mtaikumbuka hii thread!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!