Hii iko wazi.Usikute kabisa ni mashabiki wa Yanga ndiyo waliofanya hivi baada ya kushikwa na hasara kuona wapinzani wao wameshinda na wao kutoa sare jana yake.
Yanga ni timu isiyofanya vizuri kimataifa, wakiwaona Simba wanafanya maajabu kama vile kuwafunga Waarab kitu ambacho wao Yanga hawawezi lazıma watafanya vurugu na kusingizia mashabiki wa Simba. Simba michezo ya kimataifa ni yao na wamezoea, wafanye vurugu sasa hivi ili iweje? Serikali kamateni hawa wana CCM (Yanga) na kuwachukulia hatua kali sana.Hii iko wazi.
Mashabiki wa yanga wana chuki kuliko unavyodhani.
Kitendo cha kuwa na mashabiki wanaowavalisha jezi za Simba ni mkakati wa kimafia ambao una lengo la kushusha hadhi ya Simba.
Waliong'oa viti pale ni mashabiki wa yanga wanaovaa jezi za Simba.
Tatizo la Simba ni kucheka na manyani kama hao akina mchome
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Klabu ina shinda mchezo wa kimataifa, halafu ina sherehekea kwa kung'oa viti 256?, wakati wa sherehe hizo zenye vurugu, wanapewa fungu la goli la mama,Yanga ni timu isiyofanya vizuri kimataifa, wakiwaona Simba wanafanya maajabu kama vile kuwafunga Waarab kitu ambacho wao Yanga hawawezi lazıma watafanya vurugu na kusingizia mashabiki wa Simba. Simba michezo ya kimataifa ni yao na wamezoea, wafanye vurugu sasa hivi ili iweje? Serikali kamateni hawa wana CCM (Yanga) na kuwachukulia hatua kali sana.
Walaumu Yanga na mashabiki wao waliopanga hizi hujuma.Klabu ina shinda mchezo wa kimataifa, halafu ina sherehekea kwa kung'oa viti 256?, wakati wa sherehe hizo zenye vurugu, wanapewa fungu la goli la mama,
This, will only happen in Tanzania
Viongozi wa Yanga washitakiwe kwa kupanga tukio hiliMaoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia.
Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka ni wakorofi ili tu AFCON isifanyikie kwetu.
Provocation ya mashabiki wa Yanga kule kongo ni tukio lingine la "hujuma mkakati".
Soma Pia: Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar
Kwa muktadha huu tujipange vilivyo kukabili vita hii ya kiuchumi na kidiplomasia. Uchambuzi huu huwezi kuupata popote zaidi ya JF Ipo siku mtaikumbuka hii thread!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!