Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam (leo, Jumanne ya Januari 14.2024) vurugu zimeshuhudiwa tena kati ya wanahabari na baadhi ya vijana wa BAVICHA ambao wamepinga wanahabari kuwepo kwenye ukumbi wa uchaguzi, wanahabari waliingia ukumbini hapo baada ya kuruhusiwa na msimamizi wa uchaguzi huo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu
Kwa sasa wanahabari hao bado wanaendelea kusota nje, walisubiri endapo kama watapata 'huruma' ya kuruhusiwa kurejea ukumbini tena.
Pia, Soma:
Kwa sasa wanahabari hao bado wanaendelea kusota nje, walisubiri endapo kama watapata 'huruma' ya kuruhusiwa kurejea ukumbini tena.