Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Lyamungo walikua na vurugu sana, walikua wakija kwenye graduation weruweru wanalazimisha kuingia ata kama walialikwa watano wao wanakuja kiringi[emoji38][emoji38]
Weruweru na Machame girls watoto weupee πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Nakumbuka tu jina Feruzi, alikuwa mweusi na lips flan nyekundu. But alikuwa Day, kama ni huyo namkumbuka.
Kina Andrew kimboka na Buruani Mtali Mushi na Jabri Mushi uliwaacha sio

Yule Dada Matata wa Day Eutropia Mushi unamkumbuka au ndio shemeji yetu alikuwa?
 
Mwl mbise
Weeeee, mwalimu Mbise alifariki muda mrefu sana.

Alipata uvimbe tumboni ukawa sababu ya kifo chake. Alitufundisha English kuanzia form one mpaka four. Apumzike kwa amani Mwl Mbise. Mr Kapinga nae alishafatiki pia. Alikuwa anafundisha B/K na commerce
 
Kina Andrew kimboka na Buruani Mtali Mushi na Jabri Mushi uliwaacha sio

Yule Dada Matata wa Day Eutropia Mushi unamkumbuka au ndio shemeji yetu alikuwa?
Etropia nilimuacha shule, mimi nilisoma na dada yake Etropia
 
Weruweru na Machame girls watoto weupee πŸ˜‹πŸ˜‹
Subiri kwanza....

Mimi ndiye Legend sasa.

Nimesoma Umbwe, nimesoma Machame...

Tukiwa Machame tulikataa kucheza disco ya Lyamungo, tukacheza na Umbwe.
Lyamungo wakatishia kutuchapa viboko tukifunga shule.

Tumefunga shule tukaogopa kuondoka shuleni maana walisema wanatusubiri pale mashine tools.

Lolest, ilibidi walimu wasindikize magari mpaka Moshi mjini.

Tulikuwa na hekaheka jamani
 
Ilikua ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…