Ofisi ya ccm iliyopo Nera (airport road) jiji la mwanza ikiungua moto katika harakati za watu kudai haki zao tarehe 01.11.2010. Katika nyumba hii ndipo katibu wa CCM alichomwa kisu na meya wa jiji katiwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji alipofika airport June mwaka huu.
Wakulaumiwa ni ccm kumpitisha masha kura za maoni wakati alishindwa vibaya,ila Peoples power yawana mwanza imempitia kama tsunami,viva wenje,viva mwanza.