JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Chanzo: ITV
https://www.instagram.com/p/DBd_RLfo57E/comments/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ya sintofahamu imeibuka katika kitongoji cha kwa Kibosha, kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya zoezi la kupiga kura za maoni, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuahirishwa kutokana na baadhi ya wanachama kudai uwepo wa mapungufu katika uchaguzi huo na kusababisha vurugu katika kitongoji hicho.
Chanzo: ITV
View: https://www.instagram.com/p/DBd_RLfo57E/comments/
Sure CCM wamelaaniwa haswaLaana inawatesa hawa CCM
Hali ya sintofahamu imeibuka katika kitongoji cha kwa Kibosha, kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya zoezi la kupiga kura za maoni, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuahirishwa kutokana na baadhi ya wanachama kudai uwepo wa mapungufu katika uchaguzi huo na kusababisha vurugu katika kitongoji hicho.
Chanzo: ITV
View: https://www.instagram.com/p/DBd_RLfo57E/comments/
Huyo mzee aliyekua anaongea hapo mwishoni ni snitch vibaya mno na ndio kaharibu mambo yote ,wananchi hawamtaki ila yeye ana genge lake ndio linampigania apite mwisho wa siku mwenyewe anahemea juu juu alifikiri atapitishwa kirahisi.
Kumbe unamfahamuHuyo mzee aliyekua anaongea hapo mwishoni ni snitch vibaya mno na ndio kaharibu mambo yote ,wananchi hawamtaki ila yeye ana genge lake ndio linampigania apite mwisho wa siku mwenyewe anahemea juu juu alifikiri atapitishwa kirahisi.
Mpinzani wakeKumbe unamfahamu
Wewe uko upi kwanza au mpinzani wake ?