JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Haya majangili yanapambana kwenda kuibia wananchiHali ya sintofahamu imeibuka katika kitongoji cha kwa Kibosha, kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya zoezi la kupiga kura za maoni, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuahirishwa kutokana na baadhi ya wanachama kudai uwepo wa mapungufu katika uchaguzi huo na kusababisha vurugu katika kitongoji hicho.
Chanzo: ITV
View: https://www.instagram.com/p/DBd_RLfo57E/comments/
Sure CCM wamelaaniwa haswaLaana inawatesa hawa CCM
Kukishakosekana haki hakuna amani. Sasa bado Uchaguzi wa vyama vyote hapo patachimbika kweli kweli sema tu Polisi wataingilia kupendelea la sivyo patachimbika balaa.Hali ya sintofahamu imeibuka katika kitongoji cha kwa Kibosha, kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya zoezi la kupiga kura za maoni, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuahirishwa kutokana na baadhi ya wanachama kudai uwepo wa mapungufu katika uchaguzi huo na kusababisha vurugu katika kitongoji hicho.
Chanzo: ITV
View: https://www.instagram.com/p/DBd_RLfo57E/comments/
Huyo mzee aliyekua anaongea hapo mwishoni ni snitch vibaya mno na ndio kaharibu mambo yote ,wananchi hawamtaki ila yeye ana genge lake ndio linampigania apite mwisho wa siku mwenyewe anahemea juu juu alifikiri atapitishwa kirahisi.
Kumbe unamfahamuHuyo mzee aliyekua anaongea hapo mwishoni ni snitch vibaya mno na ndio kaharibu mambo yote ,wananchi hawamtaki ila yeye ana genge lake ndio linampigania apite mwisho wa siku mwenyewe anahemea juu juu alifikiri atapitishwa kirahisi.
Mpinzani wakeKumbe unamfahamu
Wewe uko upi kwanza au mpinzani wake ?
Wapasuane tu washenzi wakubwa hawa majizi ya kura wauane kabisaHali ya sintofahamu imeibuka katika kitongoji cha kwa Kibosha, kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya zoezi la kupiga kura za maoni, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuahirishwa kutokana na baadhi ya wanachama kudai uwepo wa mapungufu katika uchaguzi huo na kusababisha vurugu katika kitongoji hicho.
Chanzo: ITV
View: https://www.instagram.com/p/DBd_RLfo57E/comments/