Vurugu zazuka Kanisani la KKKT Dayosisi ya Konde Mbeya, Ibada yavunjika, Polisi wakamata viongozi

KKKT kanisa langu kupigana ni kawaida [emoji23][emoji23][emoji23] tumeshazoea , ukizingua makonde tu
 
Mkiambiwa Roman Catholic ni taasisi imara kibinadamu na kiroho msiwe mnakuwa wabishi. Hiyo ni laana ya kuasi kanisa la Kristu, na hii ni kwa all Protestants (they protested)
Mmeacha lini kulawiti watoto?
 
Mgongano wa maslahi nothing else, kama kweli wana utume kutoka kwa Mungu, waongoze ibada kwa kujitolea tuone kama watapigana
 
Askofu kakamatwa?

Loh
 
Hata kama walikuwa na tatizo naye. Kumtakaza mchungaji kwenda kuongoza ibada siyo jambo jema na zuri. Wajitathimi
Hiyo ni akili pofu. Mchingaji mbadhilifu, walishamkataa na amechakuliwa mwingine, huyo asiyetakiwa amejulishwa rasmi kwa barua lakini bado anafika kuendelea na kazi ambayo keshapewa mtu mwingine. Huo ni ukaidi wa kipumbavu, na aliyetakiwa kukamatwa ni yeye pekeyake.
 
Ndio maana watu wameanza kukimbilia kwa walokole kutafuta upako na maombi , kwa sasa kkkkt ukiingia kanisani maombi ni 20% tu ya ibada 80%iliyobaki ni mwendo wa kujadili pesa na michango yani sijui tunaelekea wapi mimi mwenyewe ni muumini wa kkkt

Utakuta wanapitisha mabakuli ujenzi wa shule za kanisa ngazi ya secondary za bweni alafu zikikamilika wanataka ada bei gali yaani ukipeleka mwanao bei ni juu unaona bora umpeleke kayumba, unajiuliza miradi ni kwa ajili ya nani huwezi jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…