Vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA

Vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
28,701
Reaction score
71,056
Wakuu kuna vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA yanayoendelea nchini Kenya na kuonyeshwa live na citizen tv ya Kenya, maandamano hayo yanashinikiza kujiuzulu kwa tume ya mipaka na uchaguzi nchini Kenya (IEBC)



Updates

-Wakuu mabomu yamelipuliwa
-watu kadhaa wamekamatwa​
 
Wakuu kuna vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA yanayoendelea nchini Kenya na kuonyeshwa live na citizen tv ya Kenya, maandamano hayo yanashinikiza kujiuzuru kwa tume ya mipaka na uchaguzi nchini Kenya (IEBC)
Raila is hopeless, na hatapata lolote, asahau urais, what is that? Mahakama imempa ushindi, awe mstaarabu!
 
atakae lianzisha atafufua ya nyuma..kushitakiwa
220px-Deputy_Prosecutor.jpg

Fatou Bom Bensouda
 
Wakuu kuna vurugu zimeanza kwenye maandamano ya NASA yanayoendelea nchini Kenya na kuonyeshwa live na citizen tv ya Kenya, maandamano hayo yanashinikiza kujiuzulu kwa tume ya mipaka na uchaguzi nchini Kenya (IEBC)




Kenya is full of shit!
 
Upinzani Kenya safi na Raila yuko vizuri sana, hapo hakuna kurudi nyuma meli ndy imeshotoa nanga hadi kieleweke.

Nilimskia Musalia Mudavadi BBC jana ametulia anazungumza kwa busara na hekima kubwa, yote wanayoyapigania ni mazuri kwa Wakenya.
 
Waache watengeneze vilema wapya, wajane wapya, yatima wapya, wavunje magari na nyumba bila kusahau majeruhi hiyo ndio democracy, my foot police piga hao.
 
IEBC walimwomba Raila aahirishe hii kitu na badala yake wafanye consultative meeting. Kwa hili, sasa wanampa nafasi adimu Kenyatta kuwashugulikia na "kuwasort"
 
Back
Top Bottom