Vuta-nikuvute tupe updates za udsm

Vuta-nikuvute tupe updates za udsm

JATELO1

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,230
Reaction score
301
Vuta-Nikuvute,
Tunaomba updates za kile kilichojadiliwa UDSM kati ya Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Mukandala na Wafanyakazi wa UDSM kuhusu utata wa mishahara yao. Nakumbuka ulitufahamisha kwamba leo kuna kikao pale UDSM.
Natanguliza shukrani.
TELO.
 
Back
Top Bottom