J JATELO1 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,230 Reaction score 301 Oct 11, 2012 #1 Vuta-Nikuvute, Tunaomba updates za kile kilichojadiliwa UDSM kati ya Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Mukandala na Wafanyakazi wa UDSM kuhusu utata wa mishahara yao. Nakumbuka ulitufahamisha kwamba leo kuna kikao pale UDSM. Natanguliza shukrani. TELO.
Vuta-Nikuvute, Tunaomba updates za kile kilichojadiliwa UDSM kati ya Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Mukandala na Wafanyakazi wa UDSM kuhusu utata wa mishahara yao. Nakumbuka ulitufahamisha kwamba leo kuna kikao pale UDSM. Natanguliza shukrani. TELO.