Vuta picha hapo…!!!

Francis Mawere

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
958
Reaction score
831
Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Jadi…

Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani na akitoka arudishiwe mambo yake kama kawaida.

Bibi akampachika jamaa jinsia ya kike alipofika mahakamani kuhojiwa akasema mi sijampa ujauzito kwasababu minina jinsia ya kike pia…!
Kwa kuthibitisha akajifunua nguo, basi jamaa akashinda kesi.

Jamaa akawa anarudi Home, lakini wakati anakaribia kufika akaona watu wengi wamejaa home wanalia akauliza kulikoni akaambiwa "Bibi amefariki"!

Vuta picha hapo…!!!
 
[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] ajiandae kupewa mimba nayeye
Hawezi kupewa mimba coz kilichobadilika ni umbile la nje tu!sema ajiandae kukojolewa tu na yeye[emoji87]
 
sawa bhana kwanza we ni ke au me mana kwa uo ushauri
 
Basi tena, atafute bwana tu wakumkuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…