Vuteni subira Manzoki atatua tu Simba SC, ila kuna Mambo muhimu Machache tunayakamilisha

Tumeanza Kwanza leo na Kiungo Mkabaji Fundi Morice Chwuku kisha tunamalizana na ama Kumuuza Kanoute au Sakho ili Ceaser Lobi Manzoki atue Simba SC. Haendi Yanga SC msidanganywe.
We lijamaa!!! Leo umekuja na I'd nyingine sio? Hamna shida lkn.

Toeni pesa hizo, manzoki atawasaidia Sana watani zetu .
 
Tumeanza Kwanza leo na Kiungo Mkabaji Fundi Morice Chwuku kisha tunamalizana na ama Kumuuza Kanoute au Sakho ili Ceaser Lobi Manzoki atue Simba SC. Haendi Yanga SC msidanganywe.
Huyo Manzoki kuna lipi kubwa alilowahi kufanya katika soka!!?? Yaani umuuze Kanoute au Sakho kisa mchezaji ambaye huna uhakika na kiwango chake!!!??
 
Swadakta wapenzi wasikilizaji.

Ngoja sasa niamke nikapate supu ya Sato kwa mama muuza. Maana hangover ya ile spirit toka Russia niliyokunywa jana, plus taarifa za usiku wa manane za Manzoki kwenda Kinyesini, vilifanya kichwa changu kiwe kizito sana.
 
Nikiandika hapa KAMATI ya usajili ya Simba na makosa unayo yafanya.

Akpan ni No 8 YEYEE NI BOX TO BOX

sio namba sita CDM KUCHUKUA NAFASI YA LWANGA.

1. EIther ilikuwa abaki Akpan au Kanute.
Au wote.

2. Wamuache Banda na DEJAN.
Gadiel,Boko Nyoni,ni MIZIGO.

NB. WASIJE WAKAWAACHA AKPAN NA KUMUUZA KANUTE. WATAKUWA WAMEFANYA KOSA LA KARNE.
 
Kwakuwa shida ni kiuongo mkabaji basi toa akpan Lete kiungo mkabaji.

Kwa mawazo yangu akiletwa kiungo mkabaji basi tusubri dirisha dogo tuone Kama forward ya phiri+ mdhungu haitakuwa na faida ndy aletwe manzoki

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
HIVI VICTOR AKPAN, PHIRI, NA NASORO KAPAMA WANA SHIDA GANI NAWASIKIA HAWAHITAJIKI NA KOCHA
 
Tumeanza Kwanza leo na Kiungo Mkabaji Fundi Morice Chwuku kisha tunamalizana na ama Kumuuza Kanoute au Sakho ili Ceaser Lobi Manzoki atue Simba SC. Haendi Yanga SC msidanganywe.
Sakho auzwe maana bei yake kwasasa imechangamka...

Kumtoa Kanoute itakuwa kosa sababu viungo wa Simba watakaobaki sio wakabaji....
 
Back
Top Bottom