Kwa wale wanofuatilia Vipindi vya Clouds TV, kile kipande cha Vichekesho "Nimekubamba" cha The Vuvuzela Comedy Show ya Evans Bukuku ni mambo ya "Copy n Paste" na save changes .
Kwa wale wanofuatilia Vipindi vya Clouds TV, kile kipande cha Vichekesho "Nimekubamba" cha The Vuvuzela Comedy Show ya Evans Bukuku ni mambo ya "Copy n Paste" na save changes .
Yani kwanza wasanii wake hawajui kuigiza kazi waliyonayo ni kulazimisha kuigiza.
Kipengele cha imekubamba wamecopy citizen tv kwenye kipindi kinaitwa NASWA.
Stand up comedy ndo hamna kitu hata kidogo yani kama kuna watu wanacheka basi huwa wanawacheka jinsi wanavyoforce kuchekesha.