Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Thanks for the link. When I saw your posting I thought it was double entendre because you started sounding in the same way you do when you describe interesting staff in your stories.
Steve.. nimecheka sana.. hadi nusura nipaliwe..
Hii habari imenifanya nifikirie sana. Hivi huyu dada alikuwa na ugomvi na hili vuvuzela? Haiwezekani kweli kulipuliza kwa raha bila karaha na ukatoka mwenye furaha? Naamini wakati mwingine watu wanaumiza mataya na makoo kwa sababu hawajui jinsi ya kupuliza vuvuzela vizuri au inavyopaswa na wanataka kujifanya wanasarakasi au wana mmbwembwe.
Habari yenyewe iko sehemu fulani, for it is not that important (google "vuvuzela's first victim) au soma kwa undani HAPA
Lakini ujumbe kuwa siyo nguvu bali utaalamu unahitajika.
Atakuwa alikosea kulipuliza,ukitaka litoe sauti bila kutumia nguvu sana unaweka upande wa kushoto au kulia wa mdomo siyo tu mdomoni huku ukitumia pumzi kali..
Idumu daima :horn::horn::horn::horn:
halafu hizi heading za habari zinakoelekea ... wee acha tu! hatuchelewi kuanza kusikia:
---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya Osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!
ukiona hivi, basi takwimu za watakao kuwa wamejinyea kwa kujitutumua wakijaribu kupuliza mivuvuzela ni wengi... ila zimefichwa tu! lol
halafu hizi heading za habari zinakoelekea ... Wee acha tu! Hatuchelewi kuanza kusikia:
---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!
dah!,bro umenifanya nicheke sana,afadhali maana wiki nzima hii sijacheka kicheko cha ukwelihalafu hizi heading za habari zinakoelekea ... wee acha tu! hatuchelewi kuanza kusikia:
---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya Osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!
halafu hizi heading za habari zinakoelekea ... wee acha tu! hatuchelewi kuanza kusikia:
---- apasuka msamba kwa kupuliza vuvuzela
---- vuvuzela yamkwama kooni
---- auawa kwa kupigwa na vuvuzela
---- vuvuzela yasababisha moto
---- vuvuzela yalipuliwa kwa bomu
---- akamatwa na vuvuzela ya Osama
---- majangili yateka shehena ya vuvuzela
---- apata mimba kwa kuhongwa vuvuzela
nakadhalika!