"better to live on a corner of the roof than
to share a house with a quarrelsome wife."
Proverbs 25;24
ha ha ha ha!
mkuu juzi nilikuwa baa moja hivi nilimkuta jamaa anajustfy theory ya kurudi home late kwa gia ya WELDI-KAPU huku akiwathibitishia jamaa zake kuwa mkewe ni VUVUZELA
sasa tukusaidiaje mpwa....?Sijaelewa!
..he he he he!Imenifurahisha sana! Kuna wanaume nao ni mavuvuzela vile vile.....hata mkulu wetu naye aliposema habari za mbayuwayu na Kibong'ota...ule ni uvuvuzela big tyme
Imenifurahisha sana! Kuna wanaume nao ni mavuvuzela vile vile.....hata mkulu wetu naye aliposema habari za mbayuwayu na Kibong'ota...ule ni uvuvuzela big tyme
hata humu JF kuna maVUVUZELA kibao! kuna vuvuzela moja limeingia forum ya JF DOCTOR linalazimisha hata wagonjwa wajadili SIASA hospitali.
sasa tukusaidiaje mpwa....?
au ushalewa na wewe?
LOL, kwakweli! ...am talking about annoying habits bana,...wikiendi umejipumzikia nyumbani maza hausi tangu kumepembazuka anatafuta watu shari, analipuliza 'vuvuzela' non-stop!... (anafoka na kunung'unika mfululizo!)
Imenifurahisha sana! Kuna wanaume nao ni mavuvuzela vile vile.....hata mkulu wetu naye aliposema habari za mbayuwayu na Kibong'ota...ule ni uvuvuzela big tyme
...hata biblia imesema;
...no wonder wenye mioyo midogo wanawafanya 'jabulani!'
...hata biblia imesema;
...no wonder wenye mioyo midogo wanawafanya 'jabulani!'
...hata biblia imesema;
...no wonder wenye mioyo midogo wanawafanya 'jabulani!'
Hapo kwenye bluu maana yake ni nini? asante kwa kunielewesha.
hahahahaaa! mkuu naona hapo umamaliza kabiisa!!hata humu JF kuna maVUVUZELA kibao! kuna vuvuzela moja limeingia forum ya JF DOCTOR linalazimisha hata wagonjwa wajadili SIASA hospitali.