Vuvuzela!

kuna wengine wanaomba wake zao wawe hizo vuvuzela ................wanapewa silent treatment wenyewe wanachoka
 
kuna wengine wanaomba wake zao wawe hizo vuvuzela ................wanapewa silent treatment wenyewe wanachoka

....hahaha, ndio hao wanaoandika vi-note na kubandika kwenye dressing table. Nishawahi tendwa ki hivyo, 'dawa' ni kujifanya hukukisoma tu.
 

hahaaaa hivi mbu huyu ni wewe au ??
umenichekesha sana duh!!
 
hata humu JF kuna maVUVUZELA kibao! kuna vuvuzela moja limeingia forum ya JF DOCTOR linalazimisha hata wagonjwa wajadili SIASA hospitali.

mdunge ganzi moja aparalizi kwa muda kwanza...................
 
Ngoja leo nikamtesti waifu kwa kumuita vuvuzela. Msiponiona hapa jamvini kesho mjue mambo yameshaharibika...........

Wewe umeichoka amani kabisa...Kuna mwenzio alimuita wife Guantanamo akaombwa talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…