VVT-i,VVTL-i, Dual VVT-i, VVT-iE, VVT-iW and Valvematic,

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Habari,
Naomba kujuzwa ufanyaji wa kazi wa intake systems hizo yani VVT-i,VVTL-i, Dual VVT-i, VVT-iE, VVT-iW and Valvematic. Na utofauti wake upo wapi na pia ipi ni system bora zaidi kati ya hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!mi najua VVT-i tu,hizo nyingine ngoja niingie chimbo

Sikiliza Toka Kwangu!
 
Back
Top Bottom