Habari,
Naomba kujuzwa ufanyaji wa kazi wa intake systems hizo yani VVT-i,VVTL-i, Dual VVT-i, VVT-iE, VVT-iW and Valvematic. Na utofauti wake upo wapi na pia ipi ni system bora zaidi kati ya hizo?