Habar yana jamvi, kama mada inavojieleza hapo juu, gari yangu inawaka taa ya check engine kwa muda mrefu sasa, baada ya kufanya Diagnosis imeoneka kuwa VVT system haipo vizur/VVT SYSTEM MALFUNCTION.Nimepelaka kwa fundi mmoja ameshindwa kunisaidia,najua hapa kuna wataalam mbalimbali wa mambo yaha. NAOMBENI MSAADA WENU
Engine ni 1mz fe V6.
Engine ni 1mz fe V6.