Naoma madr mnisaidie.
Hivi inawezekana mtu kupima VVU ndani ya wiki 1 na kugundulika kuathirika au kuwa na uhakika kwamba yuko salama?
Hii ni kutokana na mtoto aliyebakwa kuonekana kwamba hajaathirika wakati alipimwa ndani ya wiki hiyohiyo aliyobakwa.
Naomba msaada.