darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
- Thread starter
-
- #21
Unaweza Vipi Kutolea Mfano Wa Kiumbe Hai(Mwanadamu) Na Gari? Yaani Ni Vitu Viwili Tofauti KabisaSawa... Sio Chuma Chakavu anaita Chuma Mbichi anatuonaje sisi... Yani ni kama mwanamke wa 40+ na bikra hana unamuita mtoto mbichi kisa hajazaa Duh! Mahali 100M kisa anaMSHEPU Hahahaa...
Sawa... Hio gari haswa ila haibadili kuwa ni Chuma Chakavu.Ndio maana tunasema wanaojua magari.
Nunua Range ya mwaka 2020 na mwenzako achukue hii. After 5 years ndio utajua nani alinunua gari
We endelea kuita vyuma chakavu kua ni gari MBICHI sio?...Unaweza Vipi Kutolea Mfano Wa Kiumbe Hai(Mwanadamu) Na Gari? Yaani Ni Vitu Viwili Tofauti Kabisa
Ndio Maana Hadi Leo Kuna Gari Za Mwaka 1970 Hadi 80 Zinauzwa Bei Ghali Kuliko Hata Hizi Za Sasa.
Ivi Unaifahamu Carina T.I Ya Mwaka 2001 Kwa Sasa Showroom Inauzwa TSH 25m Na Usajili? Au Unajua Kwamba PREMIO Bukoba Ya Mwaka 2000 Kwa Sasa Showroom Ni TSH 26.5m Na Usajili?
Nina Mashaka Na Umri Wako Huenda Nikawa Najibizana Na Mtoto Wangu Wa Kumzaa Kitu Ambacho Sicho Kabisa
Gari yoyote liliyondeshwa ni chuma chakavu. Nenda Toyota na Mil 100 uone utapata gari ambayo sio chakavuSawa... Hio gari haswa ila haibadili kuwa ni Chuma Chakavu.
Hapana sio kila chuma ilo endeshwa ni chuma chakavu.... Sasa gari ina umri 20+ na Km za kutosha bado unaiita MBICHI hiyo.Gari yoyote liliyondeshwa ni chuma chakavu. Nenda Toyota na Mil 100 uone utapata gari ambayo sio chakavu