Vx inauzwa wahi haraka

Vx inauzwa wahi haraka

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
Wadau niko kimya sana

ila narudi na mambo mapya

Gari inauzwa VX nzima inatembea ni mpya bei milioni 28. haijaenda bodi hata mara moja, na ukitaka nakufuata kama mteja kweli uione ni ya Petrol ina TV, Music mkubwa, Proof, Friji, Spea Tyre,Matairi mapya na ni nyeusi
WAHI HARAKA
kwa mawasiliano piga 0714181990/ 0713669533
 
weka picha na details zingine mwaka,model, miles nk
 
Weka pich,Ala.Acha biashara ya mbuzi kwenye gunia.Watu hawanunui maneno.Nasema hivi weka picha tuone hiyo rangi,TV..........................Mwone,mwingi wa kuorodhesha.Apigwi mtu changa hapa,hakuna hata wa Kuku-PM leo.Weka picha,husikii!!!!!!!!!!!!!!
 
Wadau niko kimya sana

ila narudi na mambo mapya

Gari inauzwa VX nzima inatembea ni mpya bei milioni 28. haijaenda bodi hata mara moja, na ukitaka nakufuata kama mteja kweli uione ni ya Petrol ina TV, Music mkubwa, Proof, Friji, Spea Tyre,Matairi mapya na ni nyeusi
WAHI HARAKA
kwa mawasiliano piga 0714181990/ 0713669533

Wacha weee!,
Kama ni mpya hizo sifa nyekundu za nini? Weka mwaka iliyootoka, imetembea km ngapi, iliingia Tz mwaka gani na ikiwa imetembea km ngapi nk, kwani km 200 za Japan sio sawa na 200 za Tz! Hizi zitatuwezesha kupima huo upya wake
 
Wadau niko kimya sana

ila narudi na mambo mapya

Gari inauzwa VX nzima inatembea ni mpya bei milioni 28. haijaenda bodi hata mara moja, na ukitaka nakufuata kama mteja kweli uione ni ya Petrol ina TV, Music mkubwa, Proof, Friji, Spea Tyre,Matairi mapya na ni nyeusi
WAHI HARAKA
kwa mawasiliano piga 0714181990/ 0713669533

Nani anunue shida? Wapelekee wezi wa pesa za serikali huko, sisi tunahitaji starlet, nissan march, suzuki swift na nyinginezo cc <1300.
 
ok picha zinafuata msikonde ila ina km 133000 tu imeingia TZ mwaka 2006. na wewe nimekwambia ukiitaka nijulishe nikuletee sio kubwabwaja maneno najua mikono ya kwako waweza kuandika chochote ila kama huna pesa sema tu sio mikelele utadhania mnunuaji kumbe blaaaa blaaa tu. kama unataka njoo maeneo ya DUCE piga simu nitakuja utaiona sawa"
mikelele ya maandishi sio kununua huna pesa tulia angalia wenzio wanaojua magari wanunue
 
Wadau niko kimya sana

ila narudi na mambo mapya

Gari inauzwa VX nzima inatembea ni mpya bei milioni 28. haijaenda bodi hata mara moja, na ukitaka nakufuata kama mteja kweli uione ni ya Petrol ina TV, Music mkubwa, Proof, Friji, Spea Tyre,Matairi mapya na ni nyeusi
WAHI HARAKA
kwa mawasiliano piga 0714181990/ 0713669533

Mkuu mimi natafuta VX kwa muda sasa. Ila uliposema MPYA nilikuwa nafikiria ni MPYAA. Sasa kama imetembea KM 133000 HILI gari si JIPYA. Ingefaa ubadilishe tangazo lako. Na kwa hizo KM, hili gari linaonekana limetembea sanaaa kwa muda wa miaka mitatu
 
ok picha zinafuata msikonde ila ina km 133000 tu imeingia TZ mwaka 2006. na wewe nimekwambia ukiitaka nijulishe nikuletee sio kubwabwaja maneno najua mikono ya kwako waweza kuandika chochote ila kama huna pesa sema tu sio mikelele utadhania mnunuaji kumbe blaaaa blaaa tu. kama unataka njoo maeneo ya DUCE piga simu nitakuja utaiona sawa"
mikelele ya maandishi sio kununua huna pesa tulia angalia wenzio wanaojua magari wanunue

Nafikiri suala la KM pekee linanifanya niamini kuwa gari hili ni la below 1992. suala linalotakiwa katika kutangaza gari ni kuweka complete information. Otherwise unatakiwa kusoma article ya huyu jamaa--The Market for Lemons: Quality Uncertainty and the Market Mechanism--Akerlof. Huyu jamaa thoery yake aliijenga kwenye used car markets, kuwa mnunuzi always hawezi jua kama ananunua kitu kizima au kibovu, kwani kuna used cars ambazo ni quality na nyingine below quality. Kitu pekee anachosema ni kutokuwa na information asymmetry. Otherwise this will be like marketing for lemon na "Quality Uncertainty"

Nakuomba mwaga kila kitu hapa kuhusu hilo gari kama upo serious na biashara, kwamba engine imechongwa mara ngapi, imepigwa puti mara ngapi na kupata mizinga mara ngapi. limetengezwa lini na sio limeingia TZ lini, limetembea kilomita ngapi TZ au kwa maana ingine wakati linaingia lilikuwa limetembea KM ngapi?
 
ok natafuta camera nitawawekea picha na more details

vuteni subra
 
Back
Top Bottom