Vyakula 10 vyenye tindikali (acid)

Ni Mungu tu atusaidie maana kila tunachokula na kunywa tunaambiwa ni sumu, tufanyeje?
 
vp khs chair fire ?


Mkuu Mbaga jr, chair fire hafai kuliwa wataalamu wanasema kuwa ukizoea sana kula nyama ya chair fire kuna hatari kubwa ya mtu kugeuka shoga kwa sababu katika wanyama wanaofanya ushoga ni jamii ya nyani na chair fire na kama utakumbuka au unajua wataalamu wa lishe wanasema "we/you are what we/you eat".

Ukiangalia historia ya mashoga wengi utakuta walianza kula chair fire toka wakingali wadogo hadi ukubwani wanaendelea kula.

Chair fire ni "sumu" yenye uhai.
 
Duh! Hii ni shida sasa tena kama hayo maji ya viwandan me ndo natumia karibu kila siku
 
hahahhahhah, nilishasikia wanasema eti hata mayai ya kienyeji yanaleta homa ya matumbo/taifodi. hahahahahah
ukiwafuata sana hawa wapuuzi hutakula chochote coz kila kitu utaambiwa ni sumu kali sana! suprise enough wao wanakula yaleyale.
 
Tena hawali vikiwa "fureshi" kama sisi
kula maisha kufa kwaja [emoji482] [emoji482] [emoji490] [emoji485] [emoji485] tunaishi mara moja.
kila kitu kinahitaji kifanywe kwa kiasi.
 
kwahy me na familia yangu wote mashoga..? mana hcho ndo kifungua kinywa cha kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…