Vyakula gani vinasaidia kuweka saikology ya mtu vizuri?

fite fite

Senior Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
113
Reaction score
94
Salam kwenu wana jf, kama kichwa kilivyojikita naomba kufahamu ni vyakula gani vinasaidia kuweka vizuri saikology ya mtu...?
 
Maji ni namba moja.....ukiwa na stress, hasira, huzuni, umechamgamka kupitiliza, au kukosa amani....we chukua gudulia yako ya maji na glass, kuwa unapiga funda zako taratibu wakati unasikiliza muziki wa taratibu, then utaona utavyojisikia poa
 
chakula chochote kile ambacho ni kizuri kwako na utajisikia vizuri kukila
 
Maji ni namba moja.....ukiwa na stress, hasira, huzuni, umechamgamka kupitiliza, au kukosa amani....we chukua gudulia yako ya maji na glass, kuwa unapiga funda zako taratibu wakati unasikiliza muziki wa taratibu, then utaona utavyojisikia poa
Sawa mkuu nashukuru sana kwa ushauri
 
Asante ndugu kwa ushauri, lakini vipi kama napenda pilipili je inaweza kunisaidia kulingana na ushauri wako?
 
Palachichi na ndizi mbivu.
Asante ndugu yangu, naombeni doctors mnaopitia nyuzi hizi mtupatie elimu ni kitu kitu gani(kitaalamu) kinapatika kwenye parachichi na ndizi mbivu kinachosaidia kucontrol stress
 
Kuna aina 7 za aina ya vyakula vinavyohitajika mwilini lakin si vyote ni sahihi kwa mahitaji ya mwilii yanayohitajika katika kuboresha mwili uwe na afya njema,fat na protein inahitajika mwilini kwa ajili ya kufany ubongo wako ufany kazi vizur na kuepukan lile tatz linalowakumba wengi,ni tatizo la kutopoteza kumbukumbu na vitamin ni kwa ajilii ya kurutubisha ama kung'arisha ngozi yako iwe imara ili kujikinga na magonjwa ya ngozi mbali mbali
 
Sawa mkuu asante, bila kuchoka ufafanuzi zaidi juu ya vyakula vinavyoweza kumsaidia mtu mwenye msongo wa mawazo...? Tupeni elimu juu ya hilo plz.
 
Unahijitaji kwanza we mwenyew kurelax kwanza na ukifanikiw jua ya hilo hakika utarud katika hali ya kawaida na ili uwe normal jarib kujumika na watu toafauti tofauti na penda pia kubadirisha mazingira na usiwe karibu na mtu ama kitu kilifanya ukawa unconscious
 
Back
Top Bottom