Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Utajri inatakiwa ale baga,pizza,soseji ,Hennessey ,Maji Kilimanjaro, asile nyumbani akale KFC ,au pale mlimani city
Kwa hiyo soon naanza kuipiga hiyo misosi na kutembelea sehemu kali kali.
 
Uwe na hela, usiwe na hela kula vyakula vya kiafya....mboga mboga,matunda kwa wingi....vilivyobaki kwa kiasi kidogo sana utainjoi maisha.
Mkuu unataka useme nisiache kula dagaa na kabichi nilizoanza kula kitambo?
 
Nyama ya mbwa iliyosindikwa vizuri kabisa from China.
 
Ukitaka kuutumia vizuri huo mpunga it doesnt matter unakula nini
Issue ni unakula wapi
Huohuo ugari nyama ulokuwa unakula kkoo kwa buku jero unaamua kuufata serena hotel kwa efu50.
Kupanga ni kuchagua
 
Nashukuru kwamba niwe nazo nisiwe nazo aina ya chakula ni ile ile bahati nzuri hakuna atakayejua ninazo au sina labda nimwambie
Bado hujazikamata mkuu subiri ushinde beti utaikana hiyo kauli yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…