Vyakula/matunda na tiba zake special thread

 

1,Iwapo Kama utahitaji mwanao awe na ubongo unao tenda vizuri kazi

Basi jitahidi Kila mlo wake uwe na samaki au soup ya samaki

2,iwapo Kama unahisi Kama upo kwenye hatari ya kupata maradhi ya moyo/au unania ya kujikinga na maradhi ya moyo Basi tumia Sana samaki Kama chakula pendwa

3,Kama una kisukari au haupendi kukutana na kisukari

Basi jitahidi kutumia samaki Mara kwa Mara kwani nikinga dhidi ya kisukali

4.kama unahitaji mwanao asikumbwe na ugonjwa wa pumu Basi samaki ni chakula kinacho mfaa mno

5,Kama.una mzee unamlea nyumbani na Ana sumbuliwa afya ya macho

Basi samaki au supu ya samaki ita boresha afya yake


Samaki ni chakula kizuri na kitamu lakini pia ni dawa
 
Samaki wa baharini, mtoni, bwawani au ziwani? Na je akiungwa?
 
Samaki wa baharini, mtoni, bwawani au ziwani? Na je akiungwa?
Ni Kila aina ya samaki Kuna madini hayo mhimu mkuu na kuhusu kuunga nivyema supu au mchuzi wake usiungwe.

Jambo lingine la msingi nikwamba nishihi kumpa supu hiyo mtoto baada tu ya kutimiza umli wa kuweza kula
 



Kama Kuna wakati huwa unajiskia hamu ya kwenda chooni/haja kubwa

Lakini ukifika chooni unajisaidia haha kiduuchu au makamasi kiduuchu baada ya kukaa mda mlefu chooni

Kisha ukitoka hapo baada ya mda Tena unajiskia hivyo hivyo na Hali hiyo kuku ludia tena na Tena

Nakujikuta mwili una poteza nguvu Basi usihangaike dawa Ni huo mmea hapo chini

Chakufanya chuma majani yake yachemshe acha yapoe Kisha kunywa kikombe kimoja tu Cha chai Hali hiyo itaisha ndani ya lisaa limoja mbeleni japo nichungu lakini usijali
 
Bawasili Ni ugonjwa gumzo lakini huwezi kuamini kwamba tango ndiyo dawa sahihi na isiyo na gharama

Upatwapo na bawasili usiumize kichwa kula matango matatu Yani hasubuhi,mchana,na jioni kila siku kwa siku tatu utakuja unishukulu...


 
Kwa wale wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume achaneni na mkongo dawa nzuli Ni ndizi mbichi Ilizo chemshwa au kukaangwa

hasa ndizi mshale fanya Kama sehemu ya mlo uta shuhudia maajabu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…