Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

Mmechoka kaka zangu, nguvu zenu zimekwenda wapi?
 
Bora wewe umesema
Siku hizi wanaume twala vyakula vya hovo hovo mno
Hata nguruwe anachagua nini ale ila sisi kaaaaah
Tubadilike
 
Mbona chips kuku hakuna! Hii orodha fake hii.
 
DUUUHH!! Bonge La Darasa Mkuu!! Tumekusoma Vyema!!
 
Kiruuu!!
Ongesa na haluwa..ile kitu ni noma!! Yaani kama huna mazoea unaweza tia aibu kwa hizo suruali za vitambaa
 
Nakataa.

Mzuka ni wewe mwenyewe.

Vyakula haviwezi kukufanya uwe na mzuka wa kutaka kufanya tendo la ndoa.

Afadhali ungesema kitu kama hiki, chini kinafuata:-
 
Wahindi watakuwa wanafurahia sana tendo la ndoa maana kwa pilipili ni balaa.
 
Wahindi watakuwa wanafurahia sana tendo la ndoa maana kwa pilipili ni balaa.

Hahh umetaja hivyo nikajikuta nacheka sana....kwenye mpaji hakupi vyote!

Yani kawapa kupenda pilipili halafu akawapa vimbooo urefu wa pilipili yenyewe!!! Hahahahahaha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…