Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

Puus Pilipili manga na Kitunguu saumu
 
Kwenye pili pili apo ni hatari Kuna jamaaa angu. Anapenda sana pili pili ana watoto kama nyuki
 
Mmechoka kaka zangu, nguvu zenu zimekwenda wapi?
Nguvu zimekwenda kwa wanawake siku sinyingi sisi ndo tutakuwa tunabakwa na wadada mana naona wadada nguvu zimeongezeka sana kwao
 
Asali na kubaliana na ww. Nilikula asali mwz mzima kila siku kijiko kimoja, uume wng ulikuwa kila saa unasimama na nikawa nasikia hamu ya tendo la ndoa kila saa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…