Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa.

nasaka nguvu za kike jamani, zinahusika hapa?
 
ni vema unavyosema ila kila sehemu na kazi yake, si unajua hili ni jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki full stop. kama mambo ya Mungu tukutane kule kwa Dini/Imani
 
tumezid kuongelea ngono/tendo la ndoa, tuongelee na mungu..

ni vema unavyosema ila kila sehemu na kazi yake, si unajua hili ni jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki full stop. kama mambo ya Mungu tukutane kule kwa Dini/Imani
 
jiheshimu kaka.
Sasa hapo na wewe unakosea step kama huna hamu na vyakula vya kutia nyege ulingia vipi humu, mana thread hii inongelea vitu vya kutia nyege.

Wewe ukabisha kama chocklate haitii nyege ni kitu amabacho si cha kweli...Imeisha julikana dunia nzima kwamba chocklate inazidisha nyege haswa kwa wanawake.

Ndo mana wanawake wengi wenye kula chocklate wanapenda sex, we jaribu uone ndo ubishe.

Afu kwani watu wanao jiheshimu, hawafanyi sex :violin:
 
duu hadi pilipili ngoja niongeze kipimo kheeee...
 

narudia tena, jiheshimu.. We ulivyoniquote umeniambia utumbo gani? Sipendi.
 
Ukitaka kujua kama wabongo wanaabudia ngono, iangalie post yangu inayofatia baada ya hii.
Gud moning husninyo na shangazi yako kongosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…