Vyakula vinavyoongeza shahawa/manii kwa mwanaume au mwanamke

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
Ndugu Wanajamii Forum. Ni Vyakula Gani Vinavyoongeza Manii? Nawasilisha Kwenu.
 
Ni karanga, korosho, mboga za majani kwa ujumla, mayai hasa ya kwale, maziwa mtindi, vyakula aina ya samaki n.k, wengine wataendelea.
 
komaa na kula ngongo "nyanya chungu-tena zile za kiafrika (zile chunguuuu) na sio zile tamu tamu. kwa muda wa wiki 3 mfurulizo , utakuja hapa jukwaani kutoa ushuhuda wa mambo makubwa uliyotendewa na ngogo.
Pia waweza jaribu super mkuyati at your own risk.
 
hii funga kazi....
[TABLE="class: images_table"]
[TR]
[TD]
fresh figs, [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Za kazi gani?, Umeshauriwa na nani?, kwani kupata mtoto ni razima hayo madude yawe mengi?. Au mwenzio ananenepa kwa sababu ya hayo madude mengi
 
Kweli JF ni shamba kuubwa. Hayo makitu umepata wapi soko lake? Au mwenzetu umekaukiwa unatema tu tone tone tuu?? Hayo makitu ni kidude kimoja tu kinawahi yai na mtoi analia akizaliwa. Siyo chupa ya bia ijae mpaka mwenio akisimama yanashuka naye. Huo ni utoto tu
 
Km kuna mwanamke amekwambia anataka nanii mlete nimpe
 
Very famous in Iringa known as "Mich'ombe"
Mpendwa Jerhy, Make sure, hakikisha, kuwa makini kama ni fig!! maana usije changanya.. Figs ni kiboko yao! maana kimtazamo inafanana na kord.(mapu.. mbu) !
 
Ni karanga, korosho, mboga za majani kwa ujumla, mayai hasa ya kwale, maziwa mtindi, vyakula aina ya samaki n.k, wengine wataendelea.

uko sahihi mkuu ila kwa ufupi tuh ale vyakula vingi ambavyo ni rich in proteins kwasababu sperm cells ni highly proteins in nature especially essential proteins ambazo mwili hauwezi zitengenezea hivyo inaitaji toka misosi ya nje......
 
unaongeza mbegu una mashamba mengi? zikitoka baadae zinakufa tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…