Vyakula vinavyopendekezwa kutumiwa na wanawake wakati wa Hedhi

Vyakula vinavyopendekezwa kutumiwa na wanawake wakati wa Hedhi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mzunguko (siku za hedhi) kwa kawaida wanawake hupoteza kiasi cha damu pamoja na baadhi ya madini chuma mwilini.

Hali hiyo huweza kusababisha upungufu wa damu kama mwanamke atakuwa hapati lishe bora na ya kutosha. Sasa ili kuzuia upungufu wa damu na madini mwilini, msichana anatakiwa kula vyakula vyenye madini chuma na chokaa kwa wingi ikiwa ni pamoja na hivi vifuatavyo:-

Orodha ya vyakula vinavyopendekezwa
1. Mboga za majani
2. Maharage
3. Soya
4. Samaki
5. Maziwa
6. Korosho
7. Mayai
8. Dagaa n.k.

Mbali na vyakula hivyo, pia mwanamke huhitaji kuzingatia hali ya usafi wa mwili, hasa sehemu za siri . Tumia vitambaa safi vilivyo nyooshwa kwa pasi au pedi zilizohifadhiwa katika hali ya usafi
 
Asante kwa elimu [emoji122]

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
Kipindi hiki uwa natamani uji wa maziwa tuuu.
 
Back
Top Bottom