Vyakula vingine vya Makabila balaa

mpalu

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,521
Reaction score
874
Kila kabila lina vyakula vyake vya jadi lakini baadhi ya vyakula huwa haviwezi kuliwa na kabila lingine kwa mfano,Wapogoro huwa wanatumia kitu cha Mbewa(panya)kama mboga...je makabila mengine yanatumia vyakula gani tujuzane wakuu
 
Samaki Nchanga Mtwara

Idogi Iringa
 
Kule kusini watu wanakula hadi ma majongoo, akina nshomire mambo ya senene, nasikia baadhi ya wazenji punda halali yao, makristu eti kitimoto! Kwa wachina kila kilichoumbwa eti halali yao! Laanakumshetwan!
 
Kule kusini watu wanakula
hadi ma majongoo, akina nshomire mambo ya senene, nasikia baadhi ya
wazenji punda halali yao, makristu eti kitimoto! Kwa wachina kila
kilichoumbwa eti halali yao! Laanakumshetwan!

iringa mbwa
 
Kule kusini watu wanakula hadi ma majongoo, akina nshomire mambo ya senene, nasikia baadhi ya wazenji punda halali yao, makristu eti kitimoto! Kwa wachina kila kilichoumbwa eti halali yao! Laanakumshetwan!

waonaje waarabu kula ngamia, mmmh Jesus!
 
Sio makristu but wakristu, je kitimoto ndo kmeshangaza mbona mi najua kuwa weng wa walaan kitmoto ndo wanaongeza soko usiekula weye lol nduguzo ndo musosi
 
Wakiristo hula NGURUWE

Mdau mtoa mada hapa anazungumzia vyakula vya makabila tofauti na sio vyakula vya dini tofauti,mbona katumia lugha rahisi sana ????hakuna kabila la wakristo..Yetoooo ethina mburi hiyee!!!
 
wakongo nyani ni halali kwao na wazambia maduduwahsa ni sikukuu kwao.so sio aju kila kabila na mambo yake.
 
Kwetu uchagani kuna chakula kiitwacho KIBULU.Ni mchanganyiko wa ndizi,maharage,magimbi na magadi. Huvutia sana unapokunywa na kama wewe ni mgeni basi ni vgumu kuomba nyongeza manake knatamanisha uspime.
 
ndo maana kumbe wanawake wa kichagga wana matumbo makubwa na vimiguu kiduchu.
 
wakongo nyani ni halali kwao na wazambia maduduwahsa ni sikukuu kwao.so sio aju kila kabila na mambo yake.
nyani bongo wengi tu kwa mfano wapogoro
 
Last edited by a moderator:
mi napenda nyama ya nyau....hasa kwenye sambusa.....ukimuunga kwa curry powder.....na tumeric....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…