Vyakula vingine vya Makabila balaa

Nyama ya paka huwa 2na kula sana, vle vimishkaki vya barabarani na coco beach vitamu hatar.
 
Mdau mtoa mada hapa anazungumzia vyakula vya makabila tofauti na sio vyakula vya dini tofauti,mbona katumia lugha rahisi sana ????hakuna kabila la wakristo..Yetoooo ethina mburi hiyee!!!

kaja na kadorii ey wethy kabudhi kamdhitu! wazaramo utumbo wa kuku makonde nakula ntu
 
mixer ya nn hii mkuu

ki2 ya wamasai hii wanamix mahindi na maziwa. Usukumani pia unakutana na kila kitu cha kukaushwa mrenda(mswalu),majan ya kunde, viazi vya kukaushwa al maarufu kama michembe au matobolwa huliwa sana wakat wa kiangazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…