Vyakula vya ajabu nilivyowahi kula

kuna kijiji nimekaa kina wawindaji haramu wao huwinda nchi jirani
huko nimekula twiga&punda,punda milia ngiri, sana tu
 
1. "Kombucha tea"(fungus tea) nilishawahi kunywa sana ina kauchachu flani siku hizi haipatikani sana.

2. "Mbesi" samaki alieoza au kuchina analiwa sehemu za Ifakara

3."Dadii" pombe ya kienyeji ya sehemu za Arusha.Unakunywa unalewa na unashiba.
Dadii Ni pombe ya kwetu uchagani,inatengenezwa na mahindi ipo Kama uji
unashiba kabisa
 
Ina maana jf yote haina wanga, nyama za watu, Majamaa ya kutoka Buzi Bukoba huko, Gamboshi,Sumbawanga kwa wenyewe?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Kwahyo mkuu panya unapiga fresh kabsa saizi na kuwasifia juu yaani
 
Hla uhu uzi umenicheksha Sana[emoji28][emoji28][emoji28]
 
😂😂 eti panya mtamu na najuta kuchelewa kumjua..🤣🤣Yani wewe..khaa
 
Njoo umalizie ndugu
 
Niliwahi kula nyoka asiejulikana bila kujua kwa kumchanganya na samaki ucku tulipokua kwenye shughuli za uvuvi tulikuja kugutushwa na mshkaji mmoja aliekuja asubuhi na kutaka tumwachie amalizie ile supu sasa alipokua amefika mwisho mwisho c akanyanyua na sufuria ili apige ile supu tarumbeta ndipo akaona ngozi ngozi na kichwa dah jamaa alimaind kishenzi akizani tumemtegeshea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Nyama ya punda: nilisikia eti haikolei chumvi unaweza weka hata kisado bado haikolei [emoji1][emoji1]
 
Nyama ya Mamba
Hii ni tamu sana yani sawa na nyama ya kuku halafu ni white meat.
Sijawahi lkn nikionaga picha za nyama yake namtamani. Siku nitapoikuta nyama yake lzma nile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…