Mimi Huwa navipenda ila tatizo mazingira yaliyonizunguka ni ngumu kukuta chakula kinachouzwa ni Cha asli labda wali,kande kama hiyo kwenye picha haipatikani kabisa,hata nyumbani kwangu sina uwezo wa kuwalazimisha wapike,nikiwalazimiisha nitakula peke yangu,hawa wazaliwa wa mjini hawaijui kabisa.