Vyakula vya asili vya mikoa yetu

Vyakula vya asili vya mikoa yetu

imeldaB

Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
39
Reaction score
67
Habari zenu?

Muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. Mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde yaliyokaushwa kwenye jua na baadae yanapikwa na bila kusahau nyama, kwetu tunapenda nyama balaa.

Ningependa kujua mikoa mingine na vyakula vyao vya asili.
 
Ugali wa uwele ukila leo unaendaa choo baada ya week na njaa inakuuma baada ya mwezi na chooni lazima upige kelele kama uko jando emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]amuchi anyambiii
 
Msitusahau sisi Wahehe, wetu ni ulanzi na kambwa
 
Habari zenu? muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. mi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde yaliyokaushwa kwenye jua na baadae yanapikwa na bila kusahau nyama, kwetu tunapenda nyama balaa. Ningependa kujua mikoa mingine na vyakula vyao vya asili.
Mnakula hadi punda waliokufa, sina hamu na nyie
 
Kwaiyo we wa singida.. Nakumbuka kuna mnyaturu alikuwa anatuambia singida hamna demu anakataa mwanaume... Mademu wa uko wana nyege nyingi mwilini kuliko maji
Yani tupo kwenye vyakula we umeshahamia kwenye ngono. sa kati ya mimi wa singida na wewe nani anapenda ngono zaidi😎?
 
Habari zenu? muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. mi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde yaliyokaushwa kwenye jua na baadae yanapikwa na bila kusahau nyama, kwetu tunapenda nyama balaa. Ningependa kujua mikoa mingine na vyakula vyao vya asili.
Habari yakho muncha.

Mantu khina ayai alombe inoo.

IMG_20181203_143312.jpeg

Unforgetable
 
Bila kuwasahau hawa babu na bibi zetu wakiwa wamevaa kofia na vitenge vya chama chetu pendwa.

Unforgetable
 
Attachments

  • IMG-20190919-WA0061.jpeg
    IMG-20190919-WA0061.jpeg
    54 KB · Views: 38
Ugali wa uwele ukila leo unaendaa choo baada ya week na njaa inakuuma baada ya mwezi na chooni lazima upige kelele kama uko jando emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]amuchi anyambiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huo ugali ama unakula Bomu aisee
 
Kwaiyo we wa singida.. Nakumbuka kuna mnyaturu alikuwa anatuambia singida hamna demu anakataa mwanaume... Mademu wa uko wana nyege nyingi mwilini kuliko maji
Astakhafirullah
 
Kiumbo usiku asubuhi shiro na chai dah sijala mda kweli
 
Back
Top Bottom