WanaJF kuna ukweli gani juu ya hili, kwamba vyakula vya boarding schools huwa vinawekwa mafuta ya taa ili kupunguza hamu ya ngono kwa wanafunzi.
Je, mafuta haya ya taa hayana athari za kiafya kwa mtumiaji. mfano, mwanafunzi anayekula vyakula hivyo kwa miaka sita (kidato cha kwanza mpaka cha sita)?