Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanapenda kula kula vyakula vya njiani, vyakula vya kukaanga kama kachori kuku supu na chips.
View attachment 2655725
Hivi vyakula ni hatari kwa afya yako ifike mahali watanzania tujionee huruma tubadilike tuwe na ukili vyakula tunavyo vingi sana vya asili haiwezekani unafurahia kula mafuta yanayoganda yakiwekwa kwenye chupa.