Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Maamuma Asante mimi sitaki malipo zaidi ya kuweka neno hili bonyeza (Like) ndio malipo yangu zaidi ya hapo sitaki malipo ushauri wa bure ninaotoa malipo yangu yapo kwa Mwenyeezi Mungu sio kwa binadamu.Kwa mara nyingine, asante sana MziziMkavu kwa elimu hii.