Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Game On.Hivo Vyama makaratasi Hata vikiungana , havina watu.
Italazimika CCM iwe inavikodishia wasanii !.
Lisuu endelea kukabia juu, mwaka maneno yote yatawaisha kudadekKumekua na Mkakati wa Vyama 7 kuungana na kumsimamisha Mgombea Urais uchaguzi mkuu wa October
Duru za Ndani zinasema Vyama Hivyo Tayari wapo kwenye hatua za mwisho kutangaza kumuunga mkono Mgombea atakayependekezwa.
Za ndani zaidi zinadai Vyama Hivyo Vinamvizia Luhaga Mpina kuwa mgombea wao
Wale wa No Reform No Election tusbiri kama awajaunga Tela.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Siasa ya mwaka Huu mkurupukaji laazima abaki kubweka inahitaji akili na sayansi ya haswaa.
NB: Uchaguzi ni Takwa la Kikatiba Je Katiba itazidiwa Nguvu na Chadema?
Lissu kaja kutuonyesha nani ni Wapinzani wa kweli wenye kujali HAKI za Wananchi na nani ni mapandikizi Wapinzani FEKI Wapinzani tumbo ambao wengine walikuwa well camouflaged ndani ya chama.Lisuu endelea kukabia juu, mwaka maneno yote yatawaisha kudadek
Katiba imepewa mamlaka na nani..!.NB: Uchaguzi ni Takwa la Kikatiba Je Katiba itazidiwa Nguvu na Chadema?
Umemalizia vzr mwenye macho na aoneKumekua na Mkakati wa Vyama 7 kuungana na kumsimamisha Mgombea Urais uchaguzi mkuu wa October
Duru za Ndani zinasema Vyama Hivyo Tayari wapo kwenye hatua za mwisho kutangaza kumuunga mkono Mgombea atakayependekezwa.
Za ndani zaidi zinadai Vyama Hivyo Vinamvizia Luhaga Mpina kuwa mgombea wao
Wale wa No Reform No Election tusbiri kama awajaunga Tela.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Siasa ya mwaka Huu mkurupukaji laazima abaki kubweka inahitaji akili na sayansi ya haswaa.
NB: Uchaguzi ni Takwa la Kikatiba Je Katiba itazidiwa Nguvu na Chadema?
Nantuna wapa ubunge tuwakomeshe lizzuUmemalizia vzr mwenye macho na aone
π π βοΈπ₯Mpina hawezi kwenda kwenye huo ujinga lbd Gwajima na magenge ya matapeli
Soon mpina anaungana na Lissu kuokoa nchi
Mwaka huu ni pressing babeki aliye juu mfate uko uko
Lisu amesema anatafuta silaha, ngoja tusubiri tuone.Kwahiyo ndugu zanguni tuuzuie huu UCHAFUZI kwa hali na Mali na ikibidi hata kwa mawe mapanga na mishale.
Hata wakiungana wakapata Kura nying kuwazid CCM bado hawatatangazwa, uchaguzi Kwa bongo hapa NI zuga Tu mshindi anajulikana na hategemei Kura yakoGame On.
Useme avina watu uone.
Chadema inasusa wenzao wanakula
JEuri ya ruzuku kwisha sijui Tone tone Yule Rastaa mstaafu atawaacha salama
Weka sauti ya Nape hapo wimbo unoge vizuri .πΈπΈπΈπΈHata wakiungana wakapata Kura nying kuwazid CCM bado hawatatangazwa, uchaguzi Kwa bongo hapa NI zuga Tu mshindi anajulikana na hategemei Kura yako
Chadema ina watu zaidi ya nyumbu?Hivo Vyama makaratasi Hata vikiungana , havina watu.
Italazimika CCM iwe inavikodishia wasanii !.