mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
kutokana na serikali za wanafunzi vyuo vikuu kama vile DARUSO, UDOSO na vingine kutosajiliwa hivyo kukosa mamlaka ya kuwa separate legal entity kushindwa kushitaki na kushitakiwa (to sue and to be sued), kukosa haki ya kumiliki mali kisheria na kushindwa kufungua mashtaka pale wanapokuwa wameonewa,au rais anayeondoka madarakani kuwaibia wanafunzi pesa na kwa kuwa serikali za wanafunzi ziko chini ya dean of students, na ili kufnya mambo yao lazima washirikiane na uongozi wa chuo! je! kuna uwezekano serikali au vyama hivi kusajiliwa kama asasi huru kabisa ili ziweze kuwa na nguvu kisheria?