Vyama vinavyomchukia Hayati Magufli, undeni kauli mbiu yenye kuonesha chuki dhidi yake ili kupima ikiwa hakuwa na wafuasi

Vyama vinavyomchukia Hayati Magufli, undeni kauli mbiu yenye kuonesha chuki dhidi yake ili kupima ikiwa hakuwa na wafuasi

Trable

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
1,781
Reaction score
3,288
Chama chochote kinachojiamini kwamba kitashinda uchaguzi ujao" na kimekuwa ni chama chenye kumchukia sana hayati JPM na kinadhani hata kikiunda kauli mbiu kuonyesha jinsi gani kilimchukia na kinamchukia mno JPM basi wafanye hivyo!

Makelele yao hapa JF tumechoka bhana!

Kwa nini vyama viandikia mate wakati peni zipo pale kwa Mangi?

Badala ya kauli mbiu ya Pipoooz!

Waseme basi angalau! Magufuuliii! Kiitikio, Adui wa Chadema no moja!

Chadema na au hao wengine waonyeshe kwa vitendo na siyo kujifichaficha hapa JF.
 
Back
Top Bottom