Vyama vinavyounda UKAWA vilikufa siku ambayo Lowassa alikaribishwa na Mbowe

Vyama vinavyounda UKAWA vilikufa siku ambayo Lowassa alikaribishwa na Mbowe

mwongozo junior

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
180
Reaction score
64
Naamini kwamba great thinkers pekee ndiyo watakao nielewa vizuri.

Kutokana na mambo yanayo endelea UKAWA nimeamini kuwa wanasiasa ni walaghai na wanafiki wakubwa. Lowassa amefanikiwa kuwagawa wanasiasa Wa ukawa na hatimae kuwaweka mfukoni. Kwa sasa wote wanacheza ngoma kwa mdundo anaoupiga lowassa.

Alama za kimazingira zinaonesha kuwa Mbowe kapewa Pesa. Maalim seif pia kapokea ili kufadhili kampeni za cuf znz. Juma duni kachukua ili ajivue uanachama cuf na kujiuzulu nyadhifa serikalini.

Baada ya Lipumba kusahaulika kwenye mgao kasusa. Lowassa aliambiwa akubaliane na maalim siyo Lipumba. Jana kwenye ofisi za cuf buguruni huku akitoka ofisini, Lipumba alisema kwa mafumbo kuwa cuf inamilikiwa na MTU mmoja ambaye ni maalim. Kwa hivi sasa lipumba hayupo cuf.

Lowassa ni mtu hatari kwa nchi hii. Ni wakuzomewa na wazalendo popote apitapo. Anachokiamini ni nguvu ya fedha. Amezungukwa na mafisadi wenye Pesa zao. Lengo ni kumuweka ikulu ili wakaiweke nchi mifukoni mwao.

Ni dhahiri shahiri kuwa mbowe alifanya kosa kubwa kumpokea lowassa kwa tamaa zake za fedha.

Mnyika alikataa ujio Wa lowassa kama slaa lkn baada ya kupewa fedha akabadilika. Lissu aligoma lkn alipopewa mshiko akanyweya. Lema na mdee wao walipewa wakatulia. Marando ndiye aliepewa mapema ili akandike ripoti nzuri kuhusu lowassa. Alijenga hoja kuwa ujio wa lowassa utaipeleka chadema Ikulu. Sina ushahidi kuhusu profesa baregu kama alipewa au la.


Bila slaa na lipumba hakuna ukawa. Iwapo magufuli atashinda sidhani kama kutabaki chadema na cuf imara. Vyama hivi vilikufa siku ambayo mbowe alikaa meza moja na lowassa kusuka mpango wa kumkaribisha ukawa. Ujio Wa lowassa ukawa umewafanya watanzania washindwe kutofautisha kati ya ccm na wapinzani.

Kampeni za lowassa na mbowe zitakua ngumu sana bila ya uwepi Wa slaa na lipumba.

Nina wasiwasi hakutokua na mgombea Wa ukawa. Lowassa atasimama kwa tiketi ya chadema na vyama vingine vta ukawa vitasimama kivyao kwa kuweka wabunge kivyaovyao. Ukawa imekufa.
 
mwongozo junior

Huu ni mustakabali wa giza nene kwa UKAWA. Ni matumaini yangu kuwa huko sahihi.

Lakini kama UKAWA wakishindwa uchaguzi basi kila ulilonena litatokea.
 
Last edited by a moderator:
Join Date : 28th July 2015
Posts : 6
Rep Power : 303
Likes Received: 2
Likes Given: 0

Umekaririshwa ukakariri kwei kwei! hata hivyo Kwa bio data yako hapo juu! you are far too green a rookie to understand such gargantuan political issues! siwezi kusema zaidi; nitakuwa nakuonea kwani wewe bado "kichanga"; ukikua utaelewa! Bs
 
Join Date : 28th July 2015
Posts : 6
Rep Power : 303
Likes Received: 2
Likes Given: 0

Umekaririshwa ukakariri kwei kwei! hata hivyo Kwa bio data yako hapo juu! you are far too green a rookie to understand such gargantuan political issues! siwezi kusema zaidi; nitakuwa nakuonea kwani wewe bado "kichanga"; ukikua utaelewa! Bs

Wewe acha kupepesuka nenda kamuulize Lipumba kwa nini kaukimbia huo mfupa?
 
Lowasa juuuu huyu ndo Rais wa JMT amin ivo kila kitu kishawekwa Sawa
 
Back
Top Bottom