sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Vi Wapi vyama vya kitaaluma?
Kuna sheria mbovu na ya ajabu inazunguka kwenye mitandao yetu hapa Tanzania Yaani HII ya mabadiliko ya sheria ya Usalama wa Taifa mi wapi wanasheria?
Yaani mswada unapendekeza Usalama wa Taifa wapewe Kinga Kwa makosa ya kijinai kweli?kweli kabisa Usalama wa Taifa wa Tanzania Hawa Hawa wenye weredi huu ambao,tuna wasiwasi ndio wanao shutumiwa kumpiga tundu Lisu risasi?
Hawa wanao shutumiwa kumpoteza Ben saanane?
Hawa Hawa wanao semekana kumteka kabendera,Roma mkatoliki,na wengine wengi na hakuna aliye safisha anga Kwa kuusema ukweli kama kweli mi wao au sio wao? Nauliza ni hao hao ambao Mimi ukutana kwenye grocery wanakunywa pombe Kali na kujitamba yakuwa wao ni nani?
Mswada unapendekeza mtu yyte atakae wajua na kuwasema nae achukuliwe hatua?yaani nikimkuta Usalama anabaka nikimpiga picha na kumtuma kwenye mitandao nimekwisha reali?
Mswada unataka mgombea yoyote nafasi za juu alindwe na Usalama wa Taifa na alipoti Kwa Rais? Very stupid.
Nauliza mu wapi chama Cha wanasheria mtupngoze katika Ili? Nuwa wapi Peter kibatala na Afande Wakili msomi peter Madereka mtuongoze tuandamane KUPINGA upuuzi HUU?