MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Nimejaribu kukaa na kutafakari mwisho wa siku nikapata jibu kua siasa haziepukiki kwa sasa, sidhani kama kuna chama kitasubiri 2020 kuja kufungua matawi katika maeneo mbali mbali nchini.
Kwa akili ya haraka haraka mwanasiasa unapoenda eneo flani ukapata ushawishi utakaoambatana na upatikanaji wa wanachama wapya wanaokidhi idadi ya kua tawi la chama ni lazima tawi jipya lifunguliwe.
Huu mfupa ni ngumu kutafunika, serikali inaweza kupata shida sana kwa hali hii. Yaani unawaambia CHADEMA,CUF ACT NCCR,ADC na CCM wasifungue matawi kutafuta wanachama wapya mpaka 2020? It is quietly impossible. Mimi binafsi naona hata kama tunatakiwa tuache siasa lakini sio kwa mtindo huu! Nyama vina haki ya kufanya shughuli zao kwa mujibu wa katiba bila kuathiri utendaji wa serikali.