ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
- Thread starter
-
- #181
Mbona hata hiyo CCM ni chama feki kinawadanganya sana wananchi na kuwapumbaza waamini kuwa ni chama bora pekee kumbe uozo mtupu.
Inawezekana wewe na BEN ni beginners katika siasa na hamjajua bado madhumuni makuu ya chama chochote cha siasa duniani. Chama chochote chenye madhumuni tofauti na hayo ni chama feki kama nilivyoeleza hapo juu.
Mkuu kumbe huko CCM mnaamini kuwadanganya wananchi ndio dhumuni la chama chochote cha siasa duniani? Uuuwiii! Tumekwisha watanzania.Usije ukasema tena hivyo mkuu utachekwa,tena inabidi uwatake radhi watanzania au withdraw your statement mkuu ili kurudisha heshima ya chama chak😵nly if you are serious with prosperity of our nation.
Yaani chama cha CUF bado tu hakijaona umuhimu wa kurekebisha website yake. Jamani hawa wanaokiendesha hiki chama hawashauriki, wakipewa nchi itakuwaje?
Yaani chama cha CUF bado tu hakijaona umuhimu wa kurekebisha website yake. Jamani hawa wanaokiendesha hiki chama hawashauriki, wakipewa nchi itakuwaje?
Tatizo lako CCM imekuathiri kiasi kwamba fikra zenu zote kuwa ninyi ni leading kumbe maboya. Yaani kwa kuwa raisi wa Kenya alikuwa Kenyatta basi na jibu la rais wa Uganda ni Ugandatta. You are wrong womam kwa kufikiria kuwa domain ya CCM itatofautiana na ya CUF by just names. Mbona kila kitu kipo kwenye google kama kweli unahitaji kitu.
Kwa kukusaidia tu bonyeza Kuhusu CUF au http://hakinaumma.wordpress.com/ Jamaa wana website zao nzuri tu.
Halafu katika hiyo link ya kwanza Kuhusu CUF soma kwenye itikadi za chama juu ya sera na malengo, halafu jipatie jibu je hiki chama kiko tayari kuongoza taifa lililo serious na maendeleo?