Sisi wananchi............. Sisi wananchi tunatakiwa tutengeneze katiba ambayo inaonyesha tunavyo taka kujitawala. Hivyo katika mchakato wa katiba wanasiasa hawatakiwi kudominate bali wananchi wa kawaida. Namba za wanasiasa lazima zidhibitiwe vinginevyo itakula kwetu.