nilitaka kushangaa mzee wa sum asimtetee dr slaa, yeye na wenzake 4 wanalipwa kwa kumwangamiza Zitto kisiasa na wako ladhi ata kumwondolea maisha yake. huo kikwetu tunakufananisha na SHOGA.
Hivi kweli wewe kama mwenyekiti wa kamati mpaka sasa bado umeshindwa kumjua mtu wa kunyooshewa kidole?
Mimi nilidhani PAC ingedili na ofisi ya msajili kuhakikisha CAG anakagua ruzuku za vyama.
Bahati mbaya sana mwenyekiti unajawa na kiburi kama siyo kujiondoa ufahamu mpaka unakurupuka eti ruzuku za vyama zisimamishwe!
Do u really deserve that position mkuu?
Well, natambua mchango wako kwa maendeleo ya siasa ya nchi hii, lakini jiangalie kama mwenyekiti wa kamati na kama mbunge, the ball is still in your court, angalia usije ukajifunga
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Sijui kwa nini mashabiki wa vyama hawataki kuona ukweli kwamba tumekuwa tunadanganywa. Vyama vilisema mahesabu yao yanakaguliwa, wengine wakafikia kutaja hata Mkaguzi, na wengine kusema wamepeleka kwa Msajili mahesabu yaliyokaguliwa! Sasa ni dhairi hakuna chama kilicho safi. Mashabiki wanageuza kuwa suala la kisiasa na kuanza kutupiana maneno ya kejeli... Mimi nafikiri huu ni ushindi, lakini hawakupaswa kupewa muda mrefu huo.
Mkuu siyo kwamba tunadanganywa, bali serikali ndiyo haikuweka utaratibu wa vyama kukaguliwa na CAG. Kama unakumbuka hata CAG aliwahi kusema serikali haijatenga bajeti ya kukagua hesabu za vyama na Zitto analifahamu. Pamoja na hayo vyama vilikuwa vinajikagua kwa utaratibu wa kumtafuta external auditor aliyethibitishwa na ofisi ya CAG. Lakini baadaye ofisi ya msajili ndiyo iliyotoa maelekezo kwamba vyama sasa wasitishe ukaguzi, badala yake watakaguliwa na CAG, ila wasubiri utaratibu wa gharama za ukaguzi. Zitto anayajua haya yote, lakini anakuja na misifa natuchanganya sisi na kamati yake. (ieleweke hapa kuwa simshambulii Zitto kama Mbunge na kiongozi wangu wa chama, bali kama mwenyekiti wa PAC)
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Unataka uniambie unamuozesha binti halafu unakaa upande wa muoaji? Kwamba nyepesi anajua kilichopo CHADEMA na nia yake nikuua nguvu zinazoweza kutumiwa na chama tawala kujikusanyia nguvu kwa ajili ya uchaguzi ujao. Kwa mtizamo wangu inawezekana akauti ya CCM inatapika pesa hazitumiwi zinasubiri uchaguzi. Sizani kama hayo mabilioni yamekuwa utilized ipasavyo. Kama watu wanalipwa 20,000/=Imefika mahali tujadili mambo bila kuweka vyama vyetu mbele,
CAG ndiye mwenye jukumu la ukaguzi na kimsingi amekwisha toa sababu za kushindwa kukagua ambayo ni kutopewa fungu la ukaguzi wa vyama vya siasa.
Binafsi nimemuunga mkono Zitto katika harakati za kuhakikisha ukaguzi unafanyika na ukweli unajulikana lakini wakati tunaunga mkono hili swala mwanzoni kabisa hapa hapa JF tukiamini ni swala jema kiuwajibikaji siku zinavyokwenda linaanza kuleta sura za kisiasa na hili ndio tatizo nchi hii.
Tatizo liko wazi na kimsingi CAG ametoa sababu na ilipaswa tujue hatua gani zichukuliwe kurekebisha huu udhaifu lakini naona kuna taswira inajengwa kutuhumu vyama hasa kuna chama kimelengwa very specific.
Lazima vyama vikaguliwe na CAG na tuache siasa kwenye mambo ya msingi maana tuna sheria na miongozo inayotosha kuongea na si kuanza kutuhumu tu na kuishia kuchanganya wananchi wasioelewa ukweli halisi.
Oh upo hapa kumshambulia Zitto! Endelea
Oh upo hapa kumshambulia Zitto! Endelea
Imefika mahali tujadili mambo bila kuweka vyama vyetu mbele,
CAG ndiye mwenye jukumu la ukaguzi na kimsingi amekwisha toa sababu za kushindwa kukagua ambayo ni kutopewa fungu la ukaguzi wa vyama vya siasa.
Binafsi nimemuunga mkono Zitto katika harakati za kuhakikisha ukaguzi unafanyika na ukweli unajulikana lakini wakati tunaunga mkono hili swala mwanzoni kabisa hapa hapa JF tukiamini ni swala jema kiuwajibikaji siku zinavyokwenda linaanza kuleta sura za kisiasa na hili ndio tatizo nchi hii.
Tatizo liko wazi na kimsingi CAG ametoa sababu na ilipaswa tujue hatua gani zichukuliwe kurekebisha huu udhaifu lakini naona kuna taswira inajengwa kutuhumu vyama hasa kuna chama kimelengwa very specific.
Lazima vyama vikaguliwe na CAG na tuache siasa kwenye mambo ya msingi maana tuna sheria na miongozo inayotosha kuongea na si kuanza kutuhumu tu na kuishia kuchanganya wananchi wasioelewa ukweli halisi.
kazi inafanywa na slaa na mbowe kumuaattack zitto kwasababu amewashuka pabayamkuu hapa kuna watu wamejiandaa/wameandaliwa maalumu kwa ajili ya kumshambulia Zitto haijalishi amefanya mema au mabaya
ulitaka amuite mama yako kuja kukagua mahesabu ya vyama?Zitto kaza kamba mkuu.Tatizo lako wewe ni kupenda sifa binafsi...Kiufupi ni mbinafsi.......Hauamini katika utendaji wa ki taasisi..unaamini katika umimi...Ingawa jambo la Ukaguzi lina manufaa kwa ujumla wake...lakini namna uliyotumia kua attack hata wale wasio kuwa na kosa ndiyo yenye tatizo...mbaya zaidi ni kwamba umejibinafsishia suala hilo...kwa lengo lile lile ...SIFA BINAFSI.
Tatizo lako unajichanganya sana mkuu, unapofika kwenye audience unaangalia psychology ya watu badala ya facts. That is a big problem.
Wakati mwingine napata shida kuamini kwamba this is Zitto I know.
Well, tunachohitaji ni maendeleo siyo kukurupuka na mambo katikati ya mambo ya msingi yaliyopo mbele yetu.
It is my impression to say wewe umeleta hii hoja ya vyama vya siasa kukaguliwa ili kuhamisha mawazo ya watu kutoka kwenye katiba mpya, watu wasihoji vyama waliongea nini na rais nk.
Yote yana maslahi kwa taifa, lakini pia kwa hili la vyama kukaguliwa ulikuwa na njia nyingine ya kuwakilishwa kwa CAG bila kuwachanganya watu na kuhamisha mawazo yao kutoka kwenye katiba mpya.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
ninaposoma kauli kama za kina ben saanane ndo nashindwa alafu nachoka kabisa, bora tusiokuwa na chama kila mtu yupo chama flan kwa benefit zake. Ivi ben kunashida gani kaka yangu kama ni matatizo mkamalizana kwenye vikao vya chama. Badala ya kutoa maneno hadharana hadi watu wengine wasiojua kinachoendelea wajue. Tujifunze nin sasa sisi vijana wadogo ambao njie ndo kama viongozi wetu
Mwaka 2013 taarifa za kamati hazikusomwa. Sitashangaa kwamba watazuia tena
Mwaka 2013 taarifa za kamati hazikusomwa. Sitashangaa kwamba watazuia tena
Du nyie F4F kweli mna kazi ya uelewa!
Kama huyu wala hajui kuwa CCM haikuwepo 1961!!!!
Ndugu yangu usihangaike na waliosilimu wanaotaka ku prove kuwa wamesilimu kweli kweli. Mimi nawapuuza watu wa namna hiyo maana wanatafuta attention tu na waonekane wapo against Zitto. Bila kufanya hivyo ataaminikaje?