Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sijaona Chochote zaidi ya Migogoro na kulogana, Hebu angalieni Chama cha soka cha Temeke, miaka yoyote ni migogoro, fitna, Majungu na Uchawi.
Nashauri Vyama vya soka vya Wilaya Vifutwe, havina faida yoyote kwa maendeleo ya soka, Bali tukivifuta tutaokoa maisha ya watu maana hawatalogana